Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Habari nyingine kubwa zilizoripotiwa kwenye Taarifa ya Habari usiku huu
Share
Notification Show More
Latest News
UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.
May 30, 2023
Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu
May 30, 2023
Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu
May 30, 2023
‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba
May 30, 2023
Sentensi za Waziri wa Nishati January Makamba kwenye mahojiano na Clouds 360 Mei 30, 2023
May 30, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Habari nyingine kubwa zilizoripotiwa kwenye Taarifa ya Habari usiku huu
Mix

Habari nyingine kubwa zilizoripotiwa kwenye Taarifa ya Habari usiku huu

June 30, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

June 30, 2017 zimeripotiwa taarifa mbalimbali kwenye Televisheni za Tanzania ambazo baadhi yake nisingependa zikupite kwa namna yoyote na tayari millardayo.com imekuwekea miongoni mwa habari hizo zilizosomwa Channel 10 na Clouds TV.

Habari ya Clouds TV – Norway kuboresha uhusiano na Tanzania

Waziri wa Mambo ya Nje ya Norway Borge Brende amemhakikishia Rais Magufuli kuwa Norway itaendeleza na kuimarisha zaidi uhusiano na ushirikiano wake na Tanzania hasa kwa kuboresha huduma za kijamii na uwekezaji katika miradi mikubwa ya maendeleo.

“Uhusiano wa Tanzania na Norway umedumu kwa miaka 55 na tumeshirikiana katika mambo mengi yakiwemo kuendeleza elimu na miundombinu mbalimbali. Sasa tunatarajia kushirikiana zaidi na Tanzania kwa kuwekeza katika miradi mikubwa kama vile uzalishaji wa umeme, kuchakata gesi na kuzalisha mbolea.” – Borge Brende.

Habari ya Chanel 10 – Dawa wa Serikali zimekutwa katika Maabara bubu Songwe

Wakati Serikali ikipinga uuzaji wa dawa za binadamu kiholela hali ni tofauti katika Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe ambako kumegundulika Maabara bubu ikiwa na vifaatiba kinyume na utaratibu. Ugunduzi huo umekuja baada ya raia wema kutoa taarifa kwa Halmashauri ya Mbozi na Mganga Mkuu Aneth Makaye alifanya ziara ya kushtukiza lakini mmiliki wa Maabara hiyo alitokomea kusikojulikana.

“Tunaenda pale Zahanati za Serikali tunatibiwa, tunapoomba dawa tunaambiwa hakuna lakini leo hii unakuta Maabara za vichochoroni zimekutwa na dawa za Serikali. Sasa je, tujiulize wananchi ni kwamba ina maana hao wenye Maabara za vichochoroni wana ubia na Serikali? Kwa nini dawa za Serikali zikutwe huku?” – Ayub Mihambo (Mwananchi Mlowo)

“Hichi kituo kinaendesha huduma ambayo hakijaruhusiwa. Mfano, hiki ni kwa ajili ya upimaji wa Malaria lakini ni mali ya Serikali vinatakiwa kuwepo kwenye vituo vya Serikali sio kwao. Sasa unashangaa zinafikaje huku, watu wanalalamika dawa hakuna lakini dawa zipo wanauziwa. Watatuambia wao wanazipata wapi zinakuwa kwenye vituo vyao na vituo vyetu vinakosa dawa.” – Aneth Makaye.

“Anayemiliki Mafuta bila kuuza ni sawa na Mhujumu Uchumi” – EWURA

VIDEO: Wizara ya Mambo ya Ndani, IGP wamezungumza kuhusu mauaji ya Kibiti, Mkuranga na Rufiji!

You Might Also Like

Wabunge wafurahishwa na utekelezwaji wa mradi wa bomba la mafuta ghafi EACOP

Profesa Mkenda kufungua maonesho ya Nane ya Tafiti na Ubunifu UDSM

Miaka 5 ya ITM, Serikali imeahidi kuadhimisha sekta ya rasilimali watu

Yanga, UNICEF na Serikali zaungana kutoa elimu Ugonjwa wa Kipindupindu

Msaada wa pikipiki kwa Polisi kulinda Watalii

TAGGED: Dk. Magufuli, habari daily, habaridaily, serikali ya Tanzania, siasa, Tanzania news
Victor Kileo TZA June 30, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Kutoka Simba kuhusu Rais wao na Makamu kuwa rumande
Next Article PICHA 15: Jumba la Amir Khan linalouzwa Tsh. 4.6b
- Advertisement -

Latest News

UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.
Top Stories May 30, 2023
Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu
Top Stories May 30, 2023
Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu
Top Stories May 30, 2023
‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba
Top Stories May 30, 2023

You Might also Like

Top Stories

UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.

May 30, 2023
Top Stories

Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu

May 30, 2023
Top Stories

Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu

May 30, 2023
Top Stories

Sentensi za Waziri wa Nishati January Makamba kwenye mahojiano na Clouds 360 Mei 30, 2023

May 30, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?