Mix

PICHA 15: Jumba la Amir Khan linalouzwa Tsh. 4.6b

on

Siku chache zilizopita Rapper Dwayne Michael Carter Jr., maarufu kama Lil Wayne  aliuza Jumba lake la kifahari lililopo Miami Beach, Fla. kwa zaidi ya Tsh. 22b, naye Boxer maarufu wa Uingereza Amir Khan ameingiza sokoni Jumba lake la kifahari ambalo.

Amir Khan ambaye ana miaka 30 kwa sasa ametangaza kuliuza jumba lake hilo lenye eneo za mraba 2,080 kwa pound 1.6m ambazo zaidi ya Tsh. 4.6b

Soma na hizi

Tupia Comments