Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli amuapisha Kamishna Diwani Athuman Msuya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Ikulu Jijini Dsm, ambaye anachukua nafasi ya Dkt. Modestus Kipilimba.
BREAKING: MAGUFULI ‘AMUONDOA MKUU WA USALAMA WA TAIFA, DIWANI ATHUMANI ACHUKUA NAFASI