Wakenya sio watu wa mchezo mchezo linapokuja suala la utani hasa kwenye social media mtu wangu. Serikali ya Kenya weekend iliyopita ilipata ugeni wa Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma aliyefanya ziara ya kikazi ya siku tatu nchini humo. Imezoeleka kila mara mgeni yeyote anapofika kwenye ofisi flani lazima asaini kitabu cha wageni, hilo pia lilifanyika kwa Jacob Zuma.
Lakini sasa kilichotokea baaada ya Rais huyo kusaini kitabu, Uhuru Kenyatta Rais wa Kenya alipost picha ya sehemu iliyosainiwa bila kujua ingezua zogo mtandaoni. Haukupita muda mrefu sana Rais Kenyatta ilimbidi kuifuta picha hiyo baada ya utani kuzidi kiwango kuhusu jinsi kiongozi huyo alivyo na mwandiko wa “kidaktari”.
Ili kuonesha kwamba wakenya hawaachi jambo lilipite, hii imekua trending topic kwenye mtandao wa twitter. Nimekuwekea hapa comments za utani wa wakenya kuhusu mwandiko wake.
Hand writing ya Jacob zuma @Kiss100Kenya Nomaree #TeamAdelle #TeamShaffie @ADELLEO @MpashoNews pic.twitter.com/p1TMhiLPJ0
— #TeamShaffie (@ShaffieWeru) October 11, 2016
Zuma's handwriting needs some prayers😂 pic.twitter.com/VmwBgJIeBG
— GATORE® (@gtncas) October 11, 2016
Jacob Zuma- RSA' president needs to consult his kindergarten teacher. The handwriting….! #ZumaInKenya pic.twitter.com/m46yXuGBoL
— Kioko Joseph (@Joe_Kioko) October 11, 2016
ULIMISS TAARIFA YA MUHUDUMU WA HOTEL ALIYEVUNJIWA SIMU NA CHRIS BROWN? NIMEKUWEKEA HAPA