Mtu wangu hizi hapa ndiyo movies zitakazoonyeshwa kwenye theater mbalimbali na unaweza kuchagua muda wako,movie yako na wapi pa kwenda kuangalia.kama upo Dar es Salaam unaweza ukaenda ,Mlimani City-Cinema Century,Oysterbay,Quality Center.


Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook