Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Utata Mabehewa ya Treni ya Umeme, Mkurugenzi afunguka, “Sio ya mtumba, Mengine 45 yanakuja”
Share
Notification Show More
Latest News
Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
January 31, 2023
Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg
January 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Utata Mabehewa ya Treni ya Umeme, Mkurugenzi afunguka, “Sio ya mtumba, Mengine 45 yanakuja”
Top Stories

Utata Mabehewa ya Treni ya Umeme, Mkurugenzi afunguka, “Sio ya mtumba, Mengine 45 yanakuja”

December 6, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa ametoa ufafanuzi juu ya kauli na mijadala iliyopo mitandaoni kuhusu Mabehewa mapya ya Reli ya Kisasa (SGR) ni ya mtumba na yamenunuliwa kwa gharama kubwa.

“Yale Mabehewa sio ya mtumba wala used ni Mabehewa mapya, sasa anayezungumza mnaweza kumuuliza vyanzo vyake ni wapi anapata, ni Mabehewa yaliyokuwa yakitengezwa kwa miaka miwili, katika manunuzi kuna sheria ambapo lazima kabla hamjasema huyu hapa tunaenda nae lazima kuwe na ulinganifu wa bei, sasa Mtu anapoibuka tu na kuanza kusema mabehew yana kiasi fulani ni jambo la ajabu kidogo ila mtamuuliza yeye”

“Kuhusu bei ya Mabehewa yapo 59 na sio 14 yamekuja kwa awamu ya kwanza, mwaka kesho Mei tutapata mengine 45 jumla yatafanya kuwa 49 na bei aliyoitoa bei ni Dola Milioni 55.6 ndio bei ya Mabehewa”

You Might Also Like

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

Edwin TZA December 6, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 6, 2022
Next Article PICHA 5: Muonekano wa jiji la Mwanza leo Desemba 6, 2022
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
Sports February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
Top Stories January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
Top Stories January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
Top Stories January 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

January 31, 2023
Top Stories

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

January 31, 2023
Top Stories

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

January 31, 2023
Top Stories

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

January 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?