Leo October 2, 2017 ikiwa ni siku ya makazi duniani na maadhimisho hayo kitaifa kufanyika ukumbi wa Karimjee DSM takwimu mpya zinaonesha kwamba kumekua na ongezeko kubwa la watu kuhama kutoka kijijini kwenda maeneo ya mjini.
Akizungumza kwenye maadhimisho hayo, Naibu Waziri wa ardhi, Angelina Mabula ameeleza takwimu mpya za watu hao kuhama zinaonesha ongezeko la kutoka milioni 2.2 hadi kufikia watu zaidi milioni 13 nchi nzima.
Ulipitwa na hii?Kitu RC Mwanza ameagiza baada ya kukagua Shule ya Bukongo, Ukerewe