Premier Bet
TMDA Ad

Mix

BREAKING: Mama mzazi wa mpenzi wa Diamond, Zari the boss lady amefariki

on

Mama mzazi wa Zari The Boss Lady ambaye ni mpenzi na mzazi mwenza wa mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz amefariki dunia asubuhi hii baada ya kuumwa.

Kupitia Instagram yake asubuhi hii Zari amethibitisha kifo cha mama yake akiandika>>>”Kwa huzuni kubwa mimi na familia yangu tunatangaza kifo cha mama yetu mpendwa aliyefariki asubuhi hii. Roho yake ilazwe pema, Allah akisamehe dhambi zako na akujaaliye Jana. Tutakupenda zaidi, sisi kama watoto wako tulipewa kilicho bora kutoka kwa Mungu kama mama yetu. Tunathamini yote uliyotenda kwetu. Tutakuthamini daima Mama. Lala salama?”

FULL VIDEO: Mazishi ya Ivan ‘Don’ Ssemwanga, Uganda…PLAY kwenye VIDEO hii kutazama.

EXCLUSIVE: Zari afunguka baada ya msiba wa Ivan The Don!

Soma na hizi

Tupia Comments