Usiku wa May 27 2016 ilikuwa siku ya chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) kumtafuta mrembo atakayerithi taji la umiss lililokuwa linashikiliwa na Miss IFM 2015 Sophia Basil Macha, mchujo ulifanyika na kupatikana TOP 5 na hatimae Glory Gideon akafanikiwa kushinda taji hilo, sherehe hizo pia zilisindikizwa na burudani safi kutoka kwa Navy Kenzo.
KAMA ULIIKOSA SHOW YA DIAMOND ILIYOVUNJA REKODI MAREKANI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE