Ni June 15, 2022 ambapo Kipindi cha Leo Tena kinachorushwa kupitia Clouds FM kilifanikiwa kuwakutananisha Familia ambazo zilipoteana hususani Wazazi na Watoto zao.
Sasa hapa nakusogezea ushuhudie Familia moja ambayo Mama akuwahi kuonana na Mwanae tangu 2005 walipopotezana ambapo mtoto alichukuliwa na Baba yake.