Mwimbaji wa Bongofleva Nandy akiwa kama Balozi wa Nywele za Warembo leo amekutuna na Wasusi mbalimbali kwenye shindano la ususi na kuzungumza nao.
Pia alijibu maswali ya Waandishi wa Habari kuhusu tetesi za yeye kuwa Mjamzito ambapo alionesha tumbo lake na kusema hana huo ujauzito Watu wanaouongelea, video nzima ipo youtube ya millardayo.
Bonyeza Play hapa chini kumtazama akifunguka.