
Ambwene Yessaya aka A.Y baada ya kuachia single yake mpya aliyoipa jina ‘Touch Me’ katika vituo mbalimbali vya radio aliowashirikisha Sean Kingston na Ms.Triniti.Leo anakupa dakika 3 kutazama video yake mpya iliyotengezwa Marekani.
Itazame hapa
https://www.youtube.com/watch?v=uq6fKr6Bipw&list=UUzX7qEeWwqvSmsRXVcImYFg
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook