Msanii Z Anto amerudi tena kwenye headlines baada ya kuachia wimbo wake mpya unaoitwa ‘Nichape’ , ni Love song ambayo inamuonesha aliekuwa Mke wake wa ndoa Sandra Khan (Binti kiziwi) ambaye amerejea Tanzania baada ya kumaliza kutumikia kifungo China, bonyeza PLAY hapa chini kuitazama, usisahau kuacha comment yako ili Z Anto akipita aone umeipokeaje Video yake.
EXCLUSIVE: WAZAZI WANGU WAMENITENGA KISA WANANGU WALEMAVU, BABA ANATAKA KUNIFUNGA, NIMELETA NUKSI.