Ayo TV na Millardayo.com imefanya mahojiano na mwimbaji Mkongwe Lady JayDee ikiwa ni kuelekea February 12 anayotarajia kuachia Album yake ya 8 aliyoipa jina la 20.
‘Ni Album yangu ya Nane yenye nyimbo zaidi ya Ishirini ambayo nimewashirikisha wasanii wengi tu tofauti na nyimbo zingine zilizowahi kusikika, mpaka sasa naweza sema Album hii mpya nimeandikiwa nyimbo kama tisa’- Lady Jay Dee