Jeshi la Polisi mkoani Arusha kupitia kwa kaimu kamanda, Koka Moita limetoa taarifa juu ya wakili Albert msando aliekamatwa kufuatia kutoa kauli za kichochezi dhidi ya Serikali kuhusu ugonjwa wa Corona.