Viwanja 10 kati ya 54 ambavyo vipo katika historia ya Ligi Kuu Uingereza (Picha)
Share
2 Min Read
SHARE
Ikiwa zimepita siku kadhaa toka Ligi Kuu Uingereza ianze, nimeona nikusogezee viwanja 10 bora vinavyotumika na vilivyotumika katika historia ya Ligi Kuu Uingereza.
10.
Goodison Park, Everton ni uwanaja unaotumiwa na klabu ya Everton ya Uingereza kama uwanja wa nyumbani toka mwaka 1992 una uwezo wa kuingiza watu 39,572 katika mechi moja.
9.
Craven Cottage ni uwanja wa nyumbani wa klabu ya Fulham wameutumia kama uwanja wa nyumbani kwa nyakati mbili tofauti toka mwaka 2001-2002 na 2004-2014 uwanja una uwezo wa kuchukua watu 25,700.
8.
Villa Park ni uwanja wa nyumbani wa Aston Villa toka mwaka 1992 na una uwezo wa kuchukua: 42,788
7.
Stamford Bridge uwanja wa nyumbani wa Chelsea toka mwaka 1992 Uwezo wa mashabiki : 41,798
6.
Highbury uwanja wa zamani wa Arsenal wameutumia toka mwaka 1992-2006 Uwezo wa kubeba mashabiki : 38,419
5.
Etihad Stadium Uwanja wa Manchester City ambao wamekuwa wakiutumia toka mwaka 2003 Uwezo: 55,000
4.
Anfield ni uwanja wa Liverpool toka mwaka 1992 Uwezo: 45,522
3.
St James’ Park uwanaja wa nyumbani wa Newcastle United toka mwaka 1993-2009, 2010 hadi sasa Uwezo: 52,405
2.
Emirates Stadium Uwanja wa klabu ya Arsenal kwa mara ya kwanza wameutumia mwaka 2006 hadi sasa Uwezo : 60,432
1.
Old Trafford uwanja wa klabu ya Manchester United toka mwaka 1992 Uwezo: 75,731
CHANZO: telegraph.co.uk
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> TwitterInstaFB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos