Baada ya Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge kutoa hoja ya adhabu kwa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kusimamishwa na kutohudhuria mikutano mitatu ya Bunge kuanzia leo kwa kosa la kuunga mkono kauli iliyotolewa na CAG kwamba Bunge ni dhaifu, Spika Ndugai amemuonya Lema kutotoa kauli yoyote itayoashiria uvunjifu wa hadhi ya Bunge atapewa adhabu nyingine.
BUNGE LILIVYOAZIMIA LEMA KUSIMAMISHWA