Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini.
Moja ya habari iliyoripotiwa ni hii kutoka gazeti la JamboLEO yenye kichwa cha habari ‘Sasa UKIMWI kupimwa nyumba kwa nyumba”
#JamboLEO Serikali inakusudia kufanya utafiti kwa kupima VVU nyumba kwa nyumba ili kupata takwimu sahihi pic.twitter.com/8ATItDGmhM
— millardayo (@millardayo) June 24, 2016
Gazeti la JamboLEO limeripoti kuwa Serikali inakusudia kufanya utafiti kwa kupima virusi vya UKIMWI (VVU) nyumba kwa nyumba kuanzia ngazi ya kaya, ili kupata takwimu sahihi kuhusu hali ya maambukizi mapya ya ugojwa huo ulivyo sasa nchini.
Aidha gazeti hilo limeongeza kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk Albina Chuwa ambapo alisema utafiti huo utakaotumia teknolojia ya kisasa, unalenga kupima viashiria na matokeo ya UKIMWI nchini, ili kujua ni kiwango gani Tanzania imepiga hatua katika kupamban na ugonjwa huo.
Gazeti hilo limemnukuu Dk Albina Chuwa akisema ……>>>”utafiti huo utafanyika kwa kutumia sampuli wakilishi ya kaya takribani 15, 800 za Tanzania Bara na Zanzibar kwa kufikia walengwa 40, 000 wakiwamo watoto wasiopungua 8, 000′.
#MWANANCHI Rais Magufuli awajibu Jenerali Ulimwengu, Gwajima, asema atamlinda Kikwete na marais wengine wastaafu pic.twitter.com/ObCo9SqAIt
— millardayo (@millardayo) June 24, 2016
#MWANANCHI Watatu wajeruhiwa kwa kupigwa risasi na askari wa SMZ na kupelekwa hospitali ya Alrahma kwa matibabu pic.twitter.com/oiAr3fUD3Y
— millardayo (@millardayo) June 24, 2016
#MWANANCHI Mtuhumiwa kesi ya Mwangosi aeleza kuwa alilazimishwa kusaini ungamo bila kujua nini kilichoandikwa pic.twitter.com/0dNzd1D0eL
— millardayo (@millardayo) June 24, 2016
#NIPASHE JPM asema sasa ni wakati wa kutekeleza yale aliyoahidi na kwamba muda wa siasa ni baada ya miaka mitano pic.twitter.com/nYDG3DbhN3
— millardayo (@millardayo) June 24, 2016
#NIPASHE JPM afufua matumaini ya kuwepo kwa katiba mpya yenye msingi wa rasimu ya mapendekezo ya tume ya Warioba pic.twitter.com/EEBRlc6W5P
— millardayo (@millardayo) June 24, 2016
#NIPASHE Dar imetajwa kuwa na talaka nyingi kwa kipindi cha kuanzia January hadi June, mwaka huu pic.twitter.com/OV4dG5KTdA
— millardayo (@millardayo) June 24, 2016
#MTANZANIA Matukio mawili ya kuchanganywa miili ya marehemu Muhimbili, yamewang'oa wakurugenzi wawili ktk nafasi zao pic.twitter.com/Oy8ZrogNXl
— millardayo (@millardayo) June 24, 2016
#MTANZANIA wafanyabiashara watakaokaidi kutumia EFDs watafutiwa leseni kwa miaka miwili pic.twitter.com/kKth5Zh4r3
— millardayo (@millardayo) June 24, 2016
#MTANZANIA Serikali yazinunua hisa 35% za Bharti Airtel Afrika ndani ya TTCL ikiwa ni hitimisho la kuimiliki 100% pic.twitter.com/Y9qNupxbMW
— millardayo (@millardayo) June 24, 2016
#JamboLEO Miswada minne ukiwamo wa sheria ya upatikanaji habari wa mwaka 2016 imesomwa bungeni pic.twitter.com/aGrQvw8e3Y
— millardayo (@millardayo) June 24, 2016
#JamboLEO Utafiti umeonesha hofu ya zika yaongeza idadi ya wanawake ktk nchi za Latin America wanaotaka kutoa mimba pic.twitter.com/ks3BPcSfxK
— millardayo (@millardayo) June 24, 2016
#JamboLEO Wakala wa ukaguzi wa madini umesema madini yanayoongoza kwa kutoroshwa kwenda nchi za nje ni Tanzanite pic.twitter.com/fDqBVJSeMM
— millardayo (@millardayo) June 24, 2016
#JamboLEO Serikali imekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao kuwa matokeo ya kidato cha nne hayatatolewa pic.twitter.com/7mAffrmPjs
— millardayo (@millardayo) June 24, 2016
#HabariLEO Serikali imesema imejipanga kuongeza bajeti ya sekta ya afya hadi kufikia 15% ya bajeti kuu pic.twitter.com/aOE6UJraUW
— millardayo (@millardayo) June 24, 2016
#MAJIRA Utafiti wa Taasisi ya ZCI umeonesha baada ya uchaguzi mkuu JPM amekuwa maarufu zaidi na kumpiku JK, Lowassa pic.twitter.com/dSUaOyWDqw
— millardayo (@millardayo) June 24, 2016
ULIKOSA KUTAZAMA UCHAMBUZI WA MAGAZETI JUNI 24 2016 KUTOKA AYO TV? UNAWEZA KUTAZAMA VIDEO HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB INSTAGRAM YOUTUBE