Kama una ndoto za kusoma chuo nje, hii ni Top 20 ya vyuo vikuu vipya bora duniani 2016 (+Pichaz)
Share
2 Min Read
2. Nanyang Technological University
Location: Singapore
SHARE
Kuna list kubwa ya watanzania ambao wapo nje ya nchi kwa ajili ya elimu ya juu pia nina watu wangu wa nguvu ambao wana ndoto hizo. April 8 2016, Forbes kupitia mtandao wao wametoa top 20 ya vyuo vipya bora duniani.
20. City University of Hong Kong – Hong Kong19. Paris-Sud University – Orsay, France
18. University of Calgary -Calgary, Canada
17. University of Duisburg-Essen Location: Essen, Germany16. University of Dundee -Dundee, Scotland15. Pompeu Fabra University- Barcelona, Spain14. University of Luxembourg -Luxembourg13. Ulm University-Ulm, German12. Autonomous University of Barcelona- Barcelona, Spain11. University of Antwerp- Antwerp, Belgium10. Scuola Superiore Sant’Anna -Pisa, Italy9. Pierre and Marie Curie University-Paris8. Karlsruhe Institute of Technology -Karlsruhe, Germany7. University of Konstanz -Konstanz, Germany6. Korea Advanced Institute of Science and Technology5. Pohang University of Science and Technology-South Korea4. Maastricht University-Maastricht, Netherlands3. Hong Kong University of Science and Technology- Hong Kong, China2. Nanyang Technological University- Singapore1. École Polytechnique Fédérale de Lausanne- Lausanne, Switzerland
ULIIKOSA YA MREMBO MSOMI WA TANZANIA ALIYESHINDA TUZO YA MWANASAYANSI AFRIKA? ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBEwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAMTWITTER FBYOUTUBE