Video Mpya

VIDEO:Mabibi na mabwana Marioo katuletea hii nyingine mpya

on

NI Msanii kutokea Bongo Fleva mwenye ladhaa zake Marioo au ukipenda muite Toto Bad ambae time hii ametuletea hii video mpya ya single yake iitwayo Ya Uchungu.

Video imetayarishwa na Director Hanscana na wimbo Umesimamiwa na AM Records 

ULIIKOSA HII YA VANESSA MDEE NA MPENZI WAKE STUDIO ZA TYLER PERRY BASI MSIKILIZE HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments