Usiku wa kuamkia September 28, 2018 mashabiki wa Wema Sepetu ambao wanafahamika kama ‘Team Wema’ waliandaa Surprise yao kwa ajili ya Wema ambaye kila Sept. 28 ya kila mwaka huadhimisha mwaka mwingine wa siku yake ya kuzaliwa.
Tema Wema waliandaa zawadi mbali mbali kama Keki, fedha na hata kukodi gari na matarumbeta ili kwenda nyumbani kwa Wema kumfanyia Surprise. Ayo TV na millardayo.com zilifika eneo la tukio na kupata yaliyojiri usiku huo, karibu kutazama kwa kubonyeza PLAY hapa kwenye Video.
Maua Sama afunguka aliyoyapitia siku 10 “Ni ngumu kusahau”