Leo October 22, 2020 Waandamanaji nchini Nigeria wamechoma moto jengo la Mahakama ya juu nchini humo wakati wakiendelea na maandamano kupinga ukatili wa Polisi.
Aidha, maandamano hayo ambayo yameanza kuchukua sura ya kisiasa yamesababisha vifo vya watu 12 kwa mujibu Amnesty International.