Madalali 100 wa madini katika Jiji la Arusha wamelipiwa leseni zao za kuendelea na kazi ya kuuza madini, kiasi Tsh. 25 Milioni.
Madalali hao, wamelipiwa leseni hizo na Mfanyabiashara wa madini, Faisal Shabhai na marafiki zake ambao sio Wafanyabiashara wa madini.
Kamishna na Madini Mkoa Arusha ,Hamis Kamando akizungumza katika mkutano na madalali hao alisema wamesaidiwa baada ya kuamua kuwaomba Wafanyabiashara wakubwa wa Arusha
WAFANYABIASHARA GHOROFANI STENDI MOSHI WAPEWA SIKU 14 WAONDOKE, WENYEWE WAMUOMBA MAGUFULI