Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Juma Homera ametoa ekari tano za ardhi kwa kila mfungwa kati ya wafungwa 74 walioachiwa huru kwa msamaha na Rais John Magufuli kwa ajili ya kilimo.