Kwenye zile stori za siku ambazo zimepewa nafasi ni pamoja na hii ya Clouds Media Group (CMG) kutoa hundi ya pesa za Kitanzania Milion kumi kusaidia matibabu kwa watoto wenye matatizo ya vichwa vikubwa na mgongo wazi.
Msaada huo uliotolewa na Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba kwa niaba ya Clouds Media Group umekabidhiwa katika mfuko wa GSM FOUNDATION ambao wanahusika na kusaidia na kusimamia kwa watoto wenye vichwa vikubwa na matatizo ya mgongo.
KAMA ULIIKOSA VIDEO YA AJALI YA TRENI NA UDA ILIYOTOKEA JULY 26 2016 KARIAKOO DSM