Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa amezindua kliniki ya Biashara Zanzibar, tukio hilo limeshuhudiwa na Waziri wa Biashara na Viwanda Balozi Amina Salum Ali.
Huduma ya Kliniki ya Biashara inalenga kutatua changamoto za biashara kwa wafanyabiashara kwa kuwahudumia ana kwa ana, huduma hii hujumuisha Taasisi zote za kimkakati katika kusaidia mnyororo wa biashara. Huduma ya Kliniki ya Biashara ilianzishwa na inasimamiwa na TanTrade.
RC MWANRI AKAGUA MRADI WA BILIONI 602 NA MADIWANI “MUONDOE KWANZA UMBUMBUMBU”