Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zinahudhuria mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Haki za Binadamu ambapo itatoa taarifa yake kuhusu utekelezaji wa haki za binadamu nchini Tanzania katika kipindi cha miaka minne iliyopita sambamba na kuieleza Jumuiya ya Kimataifa kuhusu mipango yake kuelekea uchaguzi mkuu baadae Octoba mwaka huu.