February 6, 2019 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola ametoa kauli ya Serikali kuhusu matukio ya utekaji na mauaji ya watoto yaliyotokea mkoani Njombe ambapo amewaonya pia watu wanaosambaza picha za watoto kwenye mitandao ya kijamii na kuzua taharuki kwa jamii.
MTEJA ANAIDAI BENKI ZAIDI YA BILIONI 1, ACHUKUA MALI ZA BENKI ZOTE