Mkuu wa Wilaya Karagwe mkoani Kagera Godfrey Mheruka amepata nafasi ya kutoa neno mbele ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania {IGP} Simon Sirro alipofika wilayani humo ambapo ameeleza jinsi anavyofanya kazi na askari wa wilaya.
DC Mheruka amesimulia Askari mmoja alivyookoa maisha ya watoto wawili waliokuwa wametekwa na watu wasiojulikana.