Mch Ambilikile Mwasapile (BABU WA LOLIONDO) aliyewakusanya watu wengi kutoka sehemu mbalimbali duniani kutokana na kuuza kikombe cha dawa inayotibu magonjwa mbalimbali.
Leo ameongea kwa mara ya kwanza na AyoTV na millardayo.com nakusema hajawahi kutembea na mwanamke yeyote tangu mwaka 2009 baaada ya mke wake kufariki.