Baada ya headline za aliyemtukana Magufuli facebook, Isaac Abakuk kuamriwa kutoa faini ya milioni 7 na Mahakama Kuu kanda ya Arusha na wadau mbalimbali wakamchangia milioni 4.5.
Sasa mtanzania mwingine wa pili kushtakiwa ni Leonard Mulokozi Kyaruzi ambaye anakabiliwa na mashtaka baada ya kusambaza maoni yake kwenye mtandao wa WhatsApp, Kyaruzi ameshtakiwa chini sheria uhalifu wa mtandaoni.
ULIKOSA UFAFANUZI WA KWA NINI ALIYEMTUKANA RAIS MAGUFULI KACHANGIWA FEDHA MIL 4.5? BONYEZA PLAY HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB INSTAGRAM YOUTUBE