Premier Bet
TMDA Ad

Mix

Unaruhusiwa kupiga picha ndani ya White House? Michelle Obama ana tangazo hili.. (Video)

on

mo2

Mara nyingi maeneo kama Ikulu, au kwenye Kambi za Jeshi huwa hairuhusiwi kabisa mtu yoyote kupiga picha.. hiyo marufuku ilikuepo pia ndani ya Ikulu ya White House Marekani.

WhiteHouse

Leo First Lady wa Marekani, Michelle Obama kapost kipande cha video kwenye Ukurasa wake Instagram.. ujumbe wake ni kwamba kuanzia leo itakuwa ni ruksa kwa mtu yoyote na mgeni atakayeingia ndani ya White House kupiga picha na kubaki na kumbukumbu yake ya nguvu kabisa.

Ambacho hakiruhusiwi kwa sasa ni selfie stick na video camera peke yake.. Unaambiwa imepita miaka 40 tangu White House ipige marufuku kwa mtu yoyote kuingia na camera ndani ya Ikulu hiyo.

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments