social network

List ya mastaa wa Marekani wanaomkubali Wizkid inaongezeka

By

on

StarBoy Wizkid anazidi kuzichukua headlines za burudani kila siku huku akipeperusha vizuri bendera ya Nigeria na Afrika katika ulimwengu wa muziki kimataifa na kujiongezea mashabiki na umaarufu mkubwa.

Miongoni mwa niliyoyakuta ni comment ya rapa staa wa kike kutoka Marekani Nicky Minaj kwenye post ambayo Wizkid alipost show yake akiwa anaimba wimbo aliomshirikisha Drake ndipo  Nicky Minaj aka-Like na kucomment alama za moto ikimaanisha ameifurahia show ile na anamkubali.

Kwa comment hiyo tutegemee collabo ya Wizkid na Nicky Minaj? Unaweza kuniandika maoni yako hapo chini mtu wangu!!!

Video: MTV EMA kuichukua tuzo kwa Wizkid na kumpa Alikiba>>>

Soma na hizi

Tupia Comments