Videos

VideoMPYA: Wildad wa The Industry kaileta hii inaitwa ‘Aisha”

on

Label ya The Industry inaendelea kuziachia product zake na sasa ni zamu ya Wildad baada ya kumuona Rosa Ree kwenye headlines za kutosha ambapo kipya cha leo ni hii video inaitwa ‘Aisha‘ , ukishaitazama usisahau kuandika na comment yako

VIDEO: Show ya Diamond iliyovunja rekodi Marekani…. Promota anasema haijawahi kutokea, tazama kwenye hii video hapa chini kujionea

FULL VIDEO: Show ya Alikiba Durban South Africa ilivyoenda… tazama kwa kubonyeza play hapa chini

Tupia Comments