Leo ilikua ni siku ya Mwigizaji Wema Sepetu kurudi Mahakamani baada ya kuachiwa kwa dhamana kwenye sakata la dawa za kulevya baada ya kutajwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.
Kesi hiyo imeahirishwa leo baada ya upande wa Mashtaka kusema upelelezi kutokamilika hivyo kesi hiyo imepangwa tarehe 15 March 2017.
ULIPITWA? Kwenye hii video hapa chini Mwigizaji Irene Uwoya amezungumza kwanini hakupost wala kusema chochote baada ya Wema Sepetu kukamatwa kwenye sakata la dawa za kulevya
BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo