Mix

Bidhaa mpya ya Wema Sepetu… anavyoendelea kutengeneza pesa kwa jina lake

on

Nguvu ya mwigizaji staa wa Tanzania Wema Sepetu  kutengeneza zaidi bidhaa zenye jina lake na kuziuza kwa Watanzania inaendelea kuonekana, ni juzijuzi tu alileta lipstick zenye jina la KISS BY WEMA.

Sasa leo July 11 2016 kupitia Instagram yake Wema Sepetu ametangaza rasmi ujio wa bidhaa yake nyingine ambayo hii ni ya mguuni na iko simple kwa namna hiyo.

Kaandika ‘mara nyingi napenda sana viatu vya chini na vya asilia… nikajionea kwanini nisitengeneze cha aina hiyo?jipatieWema sepetu flops kwa shilingi 12000 kwa jumla na 15000 rejareja, toa oda yako sasa na tutakizindua rasmi tar 29 ambapo mwenyewe ntakuuzia…#UsikuWaWazaramu Loading….. namba ya kupiga kwa ajili ya kuplace order yako ni 0655066565…. vipo design nyiiiingi na rangi nyingi mnoooo’

Actor Usher Raymond IV poses for photographers upon arrival at the screening of the film Hands of Stone at the 69th international film festival, Cannes, southern France, Monday, May 16, 2016. (AP Photo/Joel Ryan)

.

ULIKOSA KUJIONEA PARTY YA THE BLACK TIE YA WEMA SEPETU? IDRIS, BELLA NA WATU WAO WALIVYOTOKEZEA? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

ULIIKOSA HII? MAPENZI MOTOMOTO YA JACKLINE WOLPER NA HARMONIZE? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments