Hii imetokea huko India, Batuli Lamichhane mwanamke mwenye miaka 112 amekua akivuta sigara 30 kwa siku kwa miaka 95 sasa.
Mwanamke huyo alianza tabia hiyo akiwa na miaka 17 na hakuweza kuacha mpaka sasa na amesema uvutaji huo umeweza kumsaidia kuendelea kuishi muda mrefu.
Amesema hajali umri alionao kwani mpaka sasa amevuta kwa miaka 95 na hajaona tatizo lolote… stori yake iko kwenye hii video.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE