Kampeni za Uchaguzi katika Jimbo la Siha zimehitimishwa February 16, 2018 ambapo nakusogezea alichongea Dr.Godwin Molel ambaye alikuwa Mbunge wa Siha na sasa anawania tena kurudi katika kiti hicho kupitia Chama cha Mapinduzi.
Dr. Molel amewataka wananchi wa Siha kumpigia kura ili aweze kutimiza mahitaji yao katika jimbo hilo pia amemsifia Rais Magufuli kuwa anafanya kazi nzuri katika kujenga Taifa. Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama akisema ‘Magufuli ni mdogo ila ni chuma cha Mkoloni’.
“HUYU ALISEMA HATAKI MUUNGANO LEO AMEPOTEA NJIA” -MASAUNI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTZAMA