Kutoka 88.5 Dar es Salaam siku ya jana Novemba 29 kulikuwa na tukio jingine kubwa la kihistoria ambalo litakuwa ndani ya kumbukumbu za mwaka 2014 kwenye dunia ya burudani kutokana na show kubwa ya kundi la Weusi iliyofanyika Escape 1.
Unaambiwa hii ilikuwa ni #FungaMwaka la Weusi ndani ya Dar iliyopewa nguvu ya kutosha na perfomance ya mfalme Mwana FA, Godzilla, Country Boy pamoja na ugeni wa heshima kutoka kwa Rapa wa Uganda, Navio.
Unaweza kujionea lile shangwe la show hiyo kwenye picha hizi.






Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook