Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imetoa angalizo kwa Makampuni na Taasisi zisizo na usajili kukosa sifa za ushindani wa kibiashara katika dhabuni na tenda zinazotangazwa na Serikali pamoja na sekta binafsi, Bakari Ally Mketo Mkurugenzi wa Utawala na Fedha BRELA amesisitiza.
“Hakuna hatua za kisheria lakini kuna hasara za kiutendaji atakosa tenda, watu wanapata hasara kwa kub-rand biashara inakuwa kubwa wanapotaka kwenda kusajili wanakuta amesajili mtu ambaye hajatumia nguvu ku-brand biashara yake” Bakari Mketo BRELA