Waziri mkuu Kasssim Majaliwa alisimama bungeni Dodoma leo June 23 2016 kwa ajili ya kazi moja ya kujibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa wabunge, moja ya swali alilokutana nalo ni kutoka kwa Mbunge wa Rufiji Mohamed Mchengerwa aliyetaka kujua ni lini serikali itaweka mifumo ya kuwabaini mafisadi.
ULIMISS MAMBO SITA YA GOODLUCK BAADA YA KUVULIWA KOFIA YA BARAGHASHIA BUNGENI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE