Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amewataka wananchi wa Mkoa wa Tanga kula vyakula vya asili ikiwemo mboga za majani kwani kwa kufanya hivyo wataepukana na tatizo la macho ambalo ni janga kubwa kwa Taifa.
MAAJABU KUMI YA SOKA USIYOYAJUA