Msanii Ney wa Mitego ametumia siku yake ya leo Nov 29, 2018 kwa kuingia mitaa ya Manzese DSM na kugawa hela kwa wa Mama wanaofanya bishara ya kuuza chakula (Mama ntilie) ikiwa kwa lengo la kurudisha kidogo alicho nacho kwa kuwasaidia kukuza mitaji yao.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.
EXCLUSIVE: AY kafunguka mengine usiyoyajua kuhusu nyumba na Uraia wa Marekani
MX kamtaja Shilole kama msanii wake aliyepata madili ya hela 2018 ‘Dili moja mapaka Million 150’