Mix

PICHA 11: Rais JPM alivyokabidhiwa nyumba na Mkapa Foundation leo

on

Leo July 10, 2017 Rais Magufuli amekabidhiwa nyumba za wahudumu wa afya na Mkapa Foundation katika sherehe iliyofanyika kijiji cha Mkungo, Wilaya ya Chato, Geita.

Ayo TV na millardayo.com zilikuwepo eneo la tukio na hizi ni PICHA 11 kutoka kwenye tukio hilo!!!

“Sasa hivi tumeweka sheria mpaka majipu yanajitumbua yenyewe” – JPM

Soma na hizi

Tupia Comments