Kwa miaka mitatu sasa hapakuwa na story yoyote kuhusu Producer Lamar na Studio yake ya Fishcrab lakini sasa amerudi kwenye headlines akikaa na Ayo TV Entertainment akieleza kurejea kwa Studio hiyo ikiwa na Msanii na Mtayarishaji mwingine.
Full video ya Lamar iko hapa chini nimekuwekea Bonyeza Play hapa chini kumsikiliza..
Ulipitwa: Chameleone, Bobi Wine waeleza walivyoguswa na kifo cha Ivan