Top Stories

BREAKING: Polisi na RC Dodoma waongelea Tundu Lissu kupigwa risasi

on

September 7, 2017 zilisambaa taarifa kuwa Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu alipigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake Dodoma, baadhi ya viongozi wamezungumzia tukio hilo akiwemo Mkuu wa Mkoa Dodoma, Jordan Lugimbana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Gilles Mroto na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe.

Spika Ndugai na Ummy Mwalimu wamjulia hali Tundu Lissu

Tupia Comments