Leo August 30, 2017 Mahakama Kanda ya Arusha imelitupilia mbali shauri lililokuwa linamkabili aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Arusha, Lengai ole Sabaya ambaye alikuwa anakabiliwa na kosa la kughushi na kutumia kitambulisho cha Usalama wa Taifa.
Hatua hiyo imekuja baada ya upande wa Jamhuri kusema kuwa haina sababu ya kuendelea na kesi hiyo na kama utakumbuka, hii ni mara ya nne shauri hilo linafikishwa Mahakamani lakini linaondolewa kwa sababu Jamhuri kutotaka kuendelea nayo.
VIDEO: MAHAKAMANI: Rais wa Simba SC na Makamu wake leo Aug 30
MAHAKAMANI: “Moyo wa Yusuf Manji una vyuma” – Shahidi
ULIPITWA? Tundu Lissu, LHRC waungana kupinga kulipuliwa Ofisi ya Mawakili