Top Stories

AJALI MWANZA: Gari la Polisi lenye Mahabusu limegongana na Vits

on

Moja ya stori iliyomake headline leo September 8, 2017 kutokea Mwanza ni kuhusu ajali ya gari iliyohusisha gari la Polisi ambalo lilikuwa limebeba Mahabusu limegongana na gari aina Toyota Vits na kusababisha Askari mmoja na Mahabusu mmoja kujeruhiwa.

Ajali hiyo imetokea Round about ya Samaki na kukimbizwa Hospital ya Mkoa Mwanza kwa matibabu.

Zitto Kabwe kuhusu kushambuliwa kwa risasi Tundu Lissu

Soma na hizi

Tupia Comments