Top Stories

“Sitofanya Mkutano wowote wa hadhara Jimbo kwangu” – Mbunge Arumeru

on

Taarifa mbalimbali zimekuwa ziki-make headlines kwenye mitandao mbalimbali kuhusu Mbunge wa Arumeru Magharibi, Gybson Meiseyeki kukataa kufanya mikutano ya hadhara kwa wananchi wa Jimbo lake.

Sasa Ayo TV na millardayo.com zimempata Mbunge huyo na kueleza kwa nini hafanyi mikutano ya hadhara kwenye Jimbo lake ambapo lina jumla ya Kata 27.

“Sina sababu ya kumjibu Godbless Lema kuhusu Lissu” – MUSUKUMA

BREAKING NEWS: Mbowe kaongea kwanini Dereva wa Lissu hakuripoti Polisi.. bonyeza play hapa chini kumtazama

Soma na hizi

Tupia Comments