Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

FURSA 2017!! “Mtu mvivu nitamfukuza” – Dr Tulia baada ya kuzindua Fursa 2017

on

Siku chache baada ya kuzinduliwa rasmi msimu mpya wa Fiesta 2017, leo September 2, 2017 Naibu Spika Dr. Tulia Ackson alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Fursa 2017 ambayo huambatana na msimu wa Fiesta ikiratibiwa na Clouds Media Group kwa msimu wa tano mfululizo.

Uzinduzi huo umefanyika katika Mkoa wa Morogoro ambapo Dr Tulia katika hotuba yake fupi aligusia changamoto za ajira kwa vijana hususani Tanzania na kueleza tatizo linalosababisha.

HUZUNI HARUSINI!!! Mabwana harusi waugua baada ya kula chakula chenye sumu

Soma na hizi

Tupia Comments